MAUSIANO;
Duniani hakuna kitu kizuri kama kuhusiana na watu
vizuri ili uweze kufanikisha uhitaji wako wakati wa uwitaji na uwitaji wao.
(saidia ili nikusaidie)
Kuna misemo mingi unayotilia mkazo kuhusiano vizuri
katika jamii inayozunguka;
-ishi na watu uvae viatu
-kidole kimoja akivunji chawa.
-umoja ni nguvu.
-heri wawili kuliko umoja.
Kuna wakati unaweza fika hauta ona maana ya
maneno/misemo hii bali utaona bora uwe pekee yako na wakati mwingine hutaona
uwitaji wa kuwa na uwitaji na mtu yeyote.
Ukweli furaha yote inayotokana na mausiano kati ya
mtu na watu yanaleta furaha ya kimwili na wala haigusi roho ya mwanadamu.(japo
unaweza kuhihusisha)
Vitu
vya kuongelea katika mausiano;
i.nini
maana ya mausiano?
ii.vyanzo
vya mausiano.
iii.namna ya kujenga mausiano/kuimarisha
mausiano.
iv.namna ya kuyabomoa mausiano.
v.dalili za kubomoa mausiano.
vi.dalili
za kujenga mausiano.
vii.faida za mausiano yaliyoimarika.
viii.hasara ya
mausiano yaliyo vunjika.
Ix.namna ya kuwa salama katika kila haina ya
mausiano
Luka 21:15-19
i.Nini
maana ya mausiano?
Mausiano ni jumla ya mambo mbalimbali, unaishije na
jamii unayoizunguka,inaielewaje jamii inayokuzunguka na unaipa nafasi gani
katika maisha yako.
Kwa kifupi utaelezea maana ya mausiano ni hali ya mwingiliano baini ya mtu na mtu au mtu
na kikundi cha watu.
Mtazamo wako ulivyo tofauti baini ya watu wa jamii
moja au tofauti inaonyesha namna mnavyo uhusiana.
Kuna mambo uwezi kufanya kwa mtu huyu na mtu
mwingine unaweza kufanya hiyo inaonyesha namna mnavyo husiana.
Kuna neno unaweza kuliongea kwa mtu unayempenda(
mpenzi) wako lakini uwezi kuliongea kwa mtu mwingine.
Mtazamo wako wako juu ya wako juu ya watu unaoleta
mausiano unajengwa uelewa wako na ulikotoka.(chimbuko gani umetokea).
Kila mahali ulipo pana haina ya mausiano mathalani
kazini,shuleni,kanisani na jamii inayokuzunguka(majirani) pia kunamgawanyo ya
mausiano kama mtoto na wazazi, wapenzi, rafiki. Na nimtu mmoja anaweza
kujihusisha na hayo mausiano.
Mtu alivyo kwako ndivyo utakavyo uhusiano nae,akiwa
mchungaji lazima utambue usiano ukoje?
ii.vyanzo
vya mausiano
siku zote msingi mzuri upelekea mwendelezo mzuri.
Lazima ujue kwanini na uhusiana na mtu uliyenae na
katika yapi mnahusiana ili uweze kuunda uhusiano mzuri na ukiweka mipaka
kulingana na uhusiano wenu.
Mnawe mkausiana katika jambo mmoja na mengine
usimmuhusishe kabisa ili kulinda msingi wa mausiano.
Sio kwa kuwa amekufurahisha basi ukamuhusisha na
mambo mengine ambayo haitaji kuhusishwa.
Usipokuwa mwangalifu katika vyanzo vya mausiano
unaweza ukapoteza hatima yako.
Suleimani na wake.
Ikonjia hionekayo….mithali 14:12
duniani kila jambo linamwanzo kupelekea mwisho.kila
mausiano lazima uangalie chimbuko gani mmekutana ili kutambua ustawi wake.
Nini kilichofanya mkutane katika mazingira ya aina
gani yana uhalali au yasiyo ya uhalali.
Kwakua kitu kilicho waunganisha ndicho kitawafanya
mwendelee hivyo kinategemea kinamwendelezo mzuri wa kiroho au la!
Mahali au hali tofauti zinaweza kuleta kuanzisha
mausiano;
-sehemu ya matukio(msibani,harusi,hospitali)
-mazingira yaliyo na maumivu(kusalitiwa,kutengwa,kuachwa)
Wakati huu utegemea na mtu kipindi hiki ufanya moyo
uwa umetulia na akili isiyo na maamuzi mamoja.
-sehemu za elimu(shuleni kwa ujumla wake-msingi
mpaka chuo,ufundi)
Tambua kukutana na mtu katika mazingira yoyote sio
lazima chimbuko lake liwe mausiano.
Mazingira hatarishi(vijiwe visivyo halali(bangi,umbeya,madawa ya
kulevya), biashara ya kuuza miili(ngono).
Kila mausiano yanauvuvio wake hivyo lazima utambue
huo uvuvio ili kudumu au kutengana.
Mausiano yana leo na kesho.hayana kila siku katika
namna moja lazima utambue mfano.mtakapo usiana mnapokuwa watoto sio mtakapo
usiana mkiwa watu wenye hatua nyingine kifamilia,kihuduma na shughuli za
kimaisha.
Kitu ambacho kimewapa nafasi kuhusiana lazima kipewe
nafasi ya utekelezaji wake hasa kikiwa ni chema.
Discussion ya biblia ina
hama inaingia mapenzi hatimae
mnaongezeka.
Yule ambaye mmehusiana kwa muda na pindi mkakutana
nae baada ya kupotezana pindi mtakapo kutana zile hisia na akili inarudisha
msingi wa mausiano. Na yale mliokwa mkifanya hii inaweza kuwa na hatari
inategemea na akili yako.
iii.Namna
ya kujenga mausiano/kuimarisha mausiano
Mausiano yanapoanza uwasikuzote watu utafuta namna
ya kuimarisha na kufanya yazidi kuwa mazuri au kuyaboresha siku hadi siku.
Ni kwelikunawakati ambao mausiano yanavunjika
inawezekana kwa kila mtu kutosimama kwenye nafasi yake au kwa mpango wa Mungu.
Lakini sio swala la kulizingatia au kulitia manani kama kipo uwakinakuja
chenyewe.
Kuna mambo ya kuzingatia ili kuimarisha mausiano:
-jiweke wewe kwenye nafasi ya rafiki yako.
Lazima utambue thamani ya mwenzako kwa ukamilifu
nauone kuwa furaha yake wewe una mchango wake.
Ona Mungu amekupa nafasi kuwa nae ili afanyike kuwa msaada
kwako nawe uwe msaada kwake.
-tambua huduma iliyokuwa ndani ya mwenzako.
Ninyi ni wa Mungu lazima urafiki wenu ujumwihishe
huduma zenu na utamani mkiinuana.
Mfano.Daudi na Jonathan
Msukumo wa urafiki wenu uwe ni yale mlio beba ndani
sio ndugu au jamaa.
Lazima mjuane vizuri utendaji huduma zenu ili muweze
kusaidiana vizuri.
Lazima hiyo huduma inakuwa katika utendaji wa
Kimungu sio huduma ya kutimiza wajibu tu, ni huduma yenye mtembeo wa
kimungu/inayo kua.
Lazima mjue mko wapi na mnataka kwenda wapi na
mikakati ya kutimiza ndoto yenu.
-lazima mpeane nafasi ya kusikilizana.
Tamani kuona furaha/huzuni yake iwe yako kwa gharama
yoyote ili mradi mnasonga mbele.
Hakikisha mnafurahiana katika kweli na sio kupakana
mafuta tu.
-lazima mtambuane udhaifu wenu.
Udhaifu wenu muweze kukamilishana kwa upendo na kutakiana
mambo mazuri.
Lazima uone kuhusika kwako kwa kila jambo linalo
mhuhusu tena katika kiwango cha juu Sana.
Iv.Namna
ya kuyabomoa mausiano.
Kuna mawili unaweza ukabomoa mausiano wakati unajua
au wakati haujui, lakini yote hatima yake ni mausiano kuvunjika.
Kwa mtu uliye mpenda hautafurahia kipindi
hiki(kipindi cha maumivu) ila katika mtu usiye mpenda ni wakati wa
kuburudika/sherehe.
Hii hiko wazi namna mausiano yanaweza kubomoka
haijalishi ulipenda au ulichukia.
Hiki ni kipindi ambacho kina gharama(lazima
kunakujigharimu katika maisha yako) kwakua sio maamuzi ambayo yanajurudia siku
baada siku.
Kama kuna wakati unahitajika uwe na maamuzi magumu
ni katika kipindi hiki ambacho kitajenga historia mpya ya maisha yako.
Hii hatua kama usipoamua vizuri inaweza kugharimu
katika maisha yako na doa likabaki ndani ya maisha yote yalio baki.
Kuvunja mausiana haina maana chuki
kuchipuka,kumuombea mabaya au kufurahia mabaya yakimpata au kuchukia mazuri
yanapomkuta.
Mausiano yanavunjika katika hali mbili yenyewe au walio
katika mausiano.
Mtu anaondoka mahali pengine au nchi
nyingine,kufa(mausiano yanavunjika yenyewe).
Kuumizana au kusalitiana,(mausiano kuvunjika
kutokana na wahusika).
Kuna mambo ya kuzingatia kabla ya kuamua kuvunja:
a)Mmenufaishana katika hali njema.
Yapo mambo mabalimbali yalitukia yakatingisha
uhusiano wenu, lakini angalia mchango wake maisha yako.
Sio alikupa hela wakati shida au kukuunganishia
kazi(mtu yeyote anaweza kufanya utegemea na moyo wake) kitu ambacho kitaweka
alama katika maisha yako.
Lazima kiwepo kama mtu unaye uhusiana kwa kweli na
kwa moyo ulio safi wa hali endelevu.
b) Mnatambuana nafasi zenu mbele za Mungu.
Lazima pawepo na mwingiliano kati yenu ambao
mnakutanishwa na kutokea kitu chenye nguvu.
c) Nyakati sahihi.
Ni kweli wakati huo sasa unaweza kusimama na
ukaendeleza kile ambacho Mungu amekiweka ndani kwa mafanikio.
*Msikilize
Roho mtakatifu ili ajaze nafasi iliyo wazi ndani yako.
Huu ni msingi ambao unakulinda sio sheria kwamba
lazima upitiehapo ili ufike hatima ya maamuzi yako.
Baada ya hapo maamuzi ya kuvunja ya chukie nafasi:
*MUONDOE KWENYE AKILI YAKO PASIPO HOFU.
Hakikisha amani imeingia ndani yako ili muone kama
kiungo katika mwili wa kristo.
imeandaliwa;
Nelson, Cothey – 0764 018
535 or cotheyn@yahoo.com