ZAWADI ILIYOJIFICHA;
Hakuna mtu ambaye apendi kupewa zawadi na mtu
anayempenda, kwakua wakati mwingine utumika kama mwendelezo mwema wa mausiano.
Lakini inakuwa tatizo pale tu usipoielewa au kutoiona, wakati mwingi haina ya
zawadi itakuwa inaashiria mustakabali wa mausiano yenu.
Kwa Yule aliyekupa zawadi kwa dhamiri iliyo njema
uona fahari sana kama utaitumia vizuri kwakua ana amini hiyo zawadi itakusaidia
kwakua mpaka amekupa anaamini ni njema na inakufaha, tatizo inakuja pale tu ile
zawadi usipoijua ni ya kwako na matumizi yake yaliyo sahihi.
Ni jambo la kawaida sana endapo usipoielewa namna ya
kuitumia haita fanyika Baraka bali itakuwa ni mzigo badala ya kuwa burudiko
ambayo ndio hasa kusudi la zawadi.
Kila
mwanadamu ndani yake kapewa zawadi na Mungu ili imsaidie
katika maisha yake duniani iwe Baraka kwake na kwa wale watakao mzunguka.
Kwakua chochote ambacho Mungu anakupa wewe ni kwa ajili ya kufaidiana ili
muishi kama familia moja yenye upendo na mshirikiano wa kweli.
Huwezi ukaitambua zawadi aliyokupa Mungu halafu
ukawa namna ambayo Mungu ajaikudia iwe katika maisha yako, lakini wanadamu
wengi wanapata tabu sana ni kwa vile hawajajua hadhina iliyo ndani yao na namna
ya kuitumia.
Ukiona mtumishi wa Mungu kafanikiwa kihuduma sana
katika kuimarisha roho zatu kujenga misingi imara ya kumpenda Mungu
isiyotingishwa ujue amitambua zawadi/hadhina ambayo Mungu amempa na kuitendea
kazi katika hali stahiki.
Ni wazi kuwa hauwezi kufika tu kwa njia nyingine ila
ni kwa kuitambua zawadi ambayo Mungu amekupa na kuifungua na kuanza kuitumia.
Baadhi
ya vikwazo vya watu kutoitumia zawadi aliyowapa Mungu!
Ni wazi tu usipotambua wapi umeanguka uwezi kusimama
katika hali stahiki isiyotoa taswira ya kuanguka tena. Kujua tatizo ndio hatua
ya kwanza ya kuondoka mahali ulipo pasipo kijua basi utakuwa unazunguka
hapohapo siku zote pasipo mafanikio ya kutoka mahali ulipo.
i.watu
hawajipendi
watu wanapenda wafanane na mtu mwingine na sio watu
wao wafanane na yeye japo yote yanawezekana watu wakaitambua nafasi yako na
hata kujifunza kupitia wewe.
Watu wamekuwa hawishi maisha yao bali upenda kuishi
maisha yaw engine ambao hawajui chimbuko lao wapi limetoka na ustahimilivu wake
umejengwa na nini nay eye kufika pale ili mgharimu nini na nani aliyekuwa
karibu yake.
Hauwezi ukawe wewe kama tu mfumo wa maisha umebeba
ramani ya watu wengine mwelekeo wako umebebwa na maisha ya watu wengi.
ii.mafanikio
yasiyo ambatana na usahihi wake
kufanikiwa sio tatizo bali unafanikiwaje na katika
misingi hipi ilichimbuko ndani ya moyo wako au ilichumbuko kutoka kwa watu
wengine.
Mafanikio haya kulupukiwi bali ni mikakati na
maongozi sahih neon lake Mungu. Na katika mafanikio utakiwi uchoke au uone kuwa
haustahili kwa mapungufu yeyote yaliyo ndani yako.
Usione kitu kizuri basi ukawaka tama na ndipo
ukaanza mikakati ya kupata yale uliyoyaona ka kutumia utundu wa akili tu bali
lazima ujue vitu vya muhimu ni vipi! Na nawezaje kuvipata! Na je! Kwa wakati
gani ni sahihi wa mimi kuvipata.
Imeandaliwa na ;
Cothey Nelson,
0764018535, cotheyn@yahoo.com
NIKUTAKIE KILA LA KHERI NDUGU!!!
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni